Msaada wa mawazo ,ushauri kwa kijana wangu

billionea alpha

JF-Expert Member
Apr 10, 2014
1,444
1,647
Wakuu nakuja kwenu hapa,nikiwa na ombi la ushauri na maoni kwa kijana wangu.

Ipo hivi na kijana wangu (mdogo wangu), ambaye anataka kujiunga na masters (masters of art in revenue law and custom) ,je wakuu mna ushauri gani kuhusu dogo,asome hiyo au ailipi?

Wajuzi wa mambo karibuni.
 
Ingekua vya ungeweka taarifa hizi

Kasoma degree ipi, kahitimu mwaka gani, chuo gani?

Saizi ana miaka mingapi?

Je kaajiriwa wapi au anafanya shughuli zipi endapo kajiajiri?
 
kwanini asipambane kitaa hizo fees za ada na malazi akapewa afanyie kitu cha kimaisha.

je ameajiriwa tayari? je ana altenative nyingine kama akikosa kazi baada ya kuhitimu masters?

kama umri unaruhusu sawa ila asiwe na big expectation katika kufanikiwa pindi tu akihitimu, pia umri unasogea.

==> Samahani kama nimekatisha tamaa mkuu.
 
Tanzania mateso sana,Magufuli alipofuta posho,nyongeza na mishara,promotion wenye ajira walitamani waache kazi wakajiajiri ila hawawezi-ukiajiriwa kuacha kazi ukajiajiri ni ngumu kama ngamia.kupita kwenye tundu LA sindano.

Ambayo hawana kazi,wanatamani wapate kazi wafanye savings badaye wajiajiri.

Mwenye hela kidogo anatamani akaongeze elimu,aje spate kazi nzuri zaidi ambapo kwa Tanzania zipo kama Magazijuto.

Ukianza kuelewa akili za mwanadamu,jua unakaribia kufa.by the way afanye kama nafasi yake inavyomtuma.
 
Ingekua vya ungeweka taarifa hizi

Kasoma degree ipi, kahitimu mwaka gani, chuo gani?

Saizi ana miaka mingapi?

Je kaajiriwa wapi au anafanya shughuli zipi endapo kajiajiri?
Dogo kamaliza degree ya statistics mwaka jana ,hana ajira,umri miaka 26.....
 
kwanini asipambane kitaa hizo fees za ada na malazi akapewa afanyie kitu cha kimaisha.....

je ameajiriwa tayari? je ana altenative nyingine kama akikosa kazi baada ya kuhitimu masters?.....

kama umri unaruhusu sawa ila asiwe na big expectation katika kufanikiwa pindi tu akihitimu, pia umri unasogea.....

==>Samahani kama nimekatisha tamaa mkuu.
Haya ndo mawazo,kikwete alisema tuchanganye na zetu,umri bado bado ndo ana 26 now,ajira ajapata,mimi kama kaka yake nataka kujitoa lawama ajisije sema tulimwacha....
 
Tanzania mateso sana,Magufuli alipofuta posho,nyongeza na mishara,promotion wenye ajira walitamani waache kazi wakajiajiri ila hawawezi-ukiajiriwa kuacha kazi ukajiajiri ni ngumu kama ngamia.kupita kwenye tundu LA sindano.

Ambayo hawana kazi,wanatamani wapate kazi wafanye savings badaye wajiajiri.

Mwenye hela kidogo anatamani akaongeze elimu,aje spate kazi nzuri zaidi ambapo kwa Tanzania zipo kama Magazijuto.

Ukianza kuelewa akili za mwanadamu,jua unakaribia kufa.by the way afanye kama nafasi yake inavyomtuma.
Mkuu ume andika kwa hisia sana ,kusoma nowadays ni kubeti,ila mwache asije sema tulimwacha.....
 
Dogo kamaliza degree ya statistics mwaka jana ,hana ajira,umri miaka 26.....
Yani kasomea statistics alafu anaenda kusomea kitu kingine tena, duh.

Sema na sisi tulipitiaga huko, Unamaliza chuo bado una hamu ya kupiga hatua tu kwenda mbele iwe ni kwa kupata ajira, kuoa, kuendeleza elimu, kujiajiri, n.k yani ilimradi uonekane umepiga step, Binafsi nlisota kitaa ila nikaajiriwa, Na mimi nlikuwa nataka niende kuongeza elimu mwanzoni ila nlipokaa kitaa nikaanza vimishe vyangu nikaona elim kuongeza hakuna ishu, nikiwa najibangaiza nikapata kazi kwa vi connection vya huku na kule.

Kwa saizi kazi zimekuwa ngumu sana kiukweli, kusoma ili uajiriwe imekuwa kama kubeti tu kiukweli.

Anyway kama hela sio changamoto sana kwenu mwacheni dogo aende kusoma huko mbele asianze lawama.

Ila pia hizo hela atazoenda kusomea masters (ada + research + pocket money + ghetto / hostel) ni nyingi sana, lwa umri wake wa 26 akianzishia boashara akikomaa basi afikapo 28 tayari anaweza akawa ana maisha yake.

ila hio kozi pia aliyochukua naona imejibana sana lwenye kazi za TRA, kwa ushauri achukue hata kozi inayoweza kumuweka ofisi yoyote serikalini
 
Ushauri muhimu sana huu mkuu, nita jitahidi kumuelewesha,shukrani sana .
 
Wakuu nakuja kwenu hapa,nikiwa na ombi la ushauri na maoni kwa kijana wangu.

Ipo hivi na kijana wangu (mdogo wangu), ambaye anataka kujiunga na masters (masters of art in revenue law and custom) ,je wakuu mna ushauri gani kuhusu dogo,asome hiyo au ailipi?

Wajuzi wa mambo karibuni.
Mkuu kama pesa ipo mwambie harudi tu shule. Ivi vi- connection za kazi atapata tu pindi akimalza kufanya Research yake.

Kimsingi akumbuke kuchangua kufanya master yenye uwigo mpana wa uhitaji mbeleni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom