Msaada wa mawazo unahitajika nimeshindwa kuripoti chuo

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,325
2,594
Mimi ni mwanafunz niliechaguliwa st joseph univesity lakin nimeshindwa kujiunga na wenzangu mwaka huu.

Kwasababu ya ukosefu wa ada sasa naomba mnisaidie kama sijaenda kuripot chuo je mwakan naweza nikapata fursa ya kuomba tena upya ikiwemo mikopo na vyuo?
 
Mwakan utaomba upya kila kitu, ila kuwa mwangalifu na ufaulu wako mana freshers ndo huwa wanapewa priority tcu na loans, thats oll
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom