Msaada wa mawazo plz.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,044
1,999
Waungwana,my young sister kachaguliwa coz inaitwa bachelor in economics and finance kwenye chuo IAA,nimejaribu kuulzia kwa wa2 wanasema hyo coz hapa tanzania ni mpya.kuna yeyote anae weza niambia juu ya soko lake la ajira au nimshauri akaibadilishe?

Hata asomee k2 gan ajira mchöngo kaka,kama vp aji2pe Arts and social sciences au koz yoyote ya science

Asome tu cha muhimu afanye vizuri, afta ol anasoma coz mbili at the same tym sasa wasiwasi wa nn. Eco ikisumbua anaomba kazi za finance. IAA ni chuo kizuri yy akatafute GPA tu na si mambo mengine bila GPA kazi zitasumbua kaka.

ha!ha!ha!mkuu,me Udom ni big NO!!!me ni kijana wa pale Hill.
mkuu ka sikosei juzi tu umesema upo udom kwenye sup............na siredi yako uliandika headin ya SUP,haya kwakua umesema mwenyewe basi sawa

mkuu ka sikosei juzi tu umesema upo udom kwenye sup............na siredi yako uliandika headin ya SUP,haya kwakua umesema mwenyewe basi sawa

nadhan utakua umenifanansha mkuu,cjawah fika hata huo mkoa wa dodoma.

Nataka umpokee chaliangu anakuja Ud.
Afu kapewa mzigo wa ukweli, koz yake inausu cultr n traditn ivi

nadhan utakua umenifanansha mkuu,cjawah fika hata huo mkoa wa dodoma.

Nataka umpokee chaliangu anakuja Ud.

Afu kapewa mzigo wa ukweli, koz yake inausu cultr n traditn ivi

mwambie 2 aje anibebe asee.

Hakuna chuo wanachoanzisha cozi bila kufanya utafiti wa soko la ajira. Mwambie aende, hilo unalofanyia utafiti kwa sasa si muda muafaka tena, angefanyia utafiti kabla ya ku apply.

Nataka umpokee chaliangu anakuja Ud.

Afu kapewa mzigo wa ukweli, koz yake inausu cultr n traditn ivi

story hizi zipelekeni face book.

Waungwana,my young sister kachaguliwa coz inaitwa bachelor in economics and finance kwenye chuo IAA,nimejaribu kuulzia kwa wa2 wanasema hyo coz hapa tanzania ni mpya.kuna yeyote anae weza niambia juu ya soko lake la ajira au nimshauri akaibadilishe?

Ajira bongo sikuiz ni GODFATHER tu, period! Mwache dogo akasome

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom