ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 482
- 1,053
Naomba msaada wakitaalam kuhusu ujenzi wa nyumba za kupangisha Nina maeneo mawili, moja Makongo sqm3000 na Kigamboni sqm1700, nataka kujenga nyumba za kupangisha.
Je, nafata taratibu gani bank wanipe mkopo au wajenge wao?
Income yangu kwa mwezi haizidi laki 5
Je, nafata taratibu gani bank wanipe mkopo au wajenge wao?
Income yangu kwa mwezi haizidi laki 5