Msaada wa mawazo.mwanamke wangu simuelewi kabisa

1)ana kisirani
2)ana hasira
3)hajali chochote nitakachomfanyia
4)hajali wala kuheshimu hisia zangu
5)nikiona ameenda kinyume nikasema nimwambie ,anazira anasema nina lawama sana
6)single mother
7)simu mpaka umuanze
8)mtu wa social networks sana
9)usiku kitandani hana sitori yoyote ni kulala tena kivyake.ukisema umkumbatie anasema nambana na akilala ni fofofo
10)hapendi romance
11)anasemaga ananipenda sana
12)ni mshauri mzuri
13)hajali

Wakuu hadi kichwa kinanipasuka.mawazo ya kuweza kuishi vizuri na huyu .maana niko stressed sana.namzidi umri kama miaka 8.she is 27 mimi ni 35.lakini najiona niko down sana kwake
10)
Hapendi romance kivipi mkuu? Ama unatatizo la kutoa harufu mdomoni? Hatari sana ama yeye ndo mwenye tatizo?
 
Punguza ukali wa maneno ,sasa hapo unajenga au unabomoa hivi ndoa unajua pole sana,hivi umeoa au umeolewa.pengine unatao ushauri kwa mambo ucyo yajua
Wanaume tunajua kufanya maamuzi ya kiume bila kuja kulia JF.. Mwanaume ni kichwa na mwanamke ni msaidizi tu, ukion mwanaume analizwa na mwanamke ujue tu na yeye ana vinasaba vya kike zaidi.
 
Kwa uzoefu huyo mwanamke amepoteza hisia na wewe. Umekuwa over submissive kwake hadi amekukinai. Ameku overpower na anakumanipulate anavyotaka na wewe upo comfortable tu na hio treatment. Sio tabia ya kiume hio!

Muhimu anza kuwa rigid kuanzia sasa, kuwa na msimamo juu ya tabia zake za kipumbavu za kususa susa kuwa huzitaki! Mwambie kama una mpango wa kumuoa na utamlipia mahari soon ila kwa huo upuuz wa kukoseshana raha ni wazi hutasita kumpotezea kama hatajirekebisha. Kama anadhani kukujali na kukuheshimu kama mpenzi ni ngumu basi utajipunguza abaki na maisha yake binafsi, sio shida!
 
Simple and clear. Ampe ultimatum kwamba haogopu kumuacha. Haogopi kuish mwenyewe. Mawil ajirekebishe au arudi kwao.
Hapo huwa madem wanashtukaga sana
 
Nimekusoma MKuu.mi Mwenyewe nimechoka na nimeanza kuchukua hatua
 
Simple and clear. Ampe ultimatum kwamba haogopu kumuacha. Haogopi kuish mwenyewe. Mawil ajirekebishe au arudi kwao.
Hapo huwa madem wanashtukaga sana
Na hio ndio dawa ya tatizo. Wanawake wengi wananyookaga ikifikia hio hatua.
 
Kama umepanga chumba, anza kuuza vitu vinavyouzika kisha hama kapange pengine mwachie kitanda na vikorokoro vidogodogo aendeleze maisha yake.

Atakuua na presha mapema.
 
Back
Top Bottom