Parabora
JF-Expert Member
- Jul 6, 2019
- 1,504
- 2,179
Habari zenu wakuu,
Nina mdogo wangu amemaliza form six na kwa matokeo ya juzi amepata EED ya PGM na kwa utaratibu ulivo Sasa hawezi kupata admission ya kwenda chuo.
Nilikuwa na option mbili ya diploma au akafanye foundation course mwaka mmoja ambayo kwa Sasa inatolewa na open university tu.
Ninachohitaji kujua ni kwamba Hawa open kwa watu wanaosoma hii foundation course utaratibu wao ni huu huu wa kuwapa material then wanaenda kujisomea wenyewe au wanaingia full darasani? Na hii foundation course wanayotoa wanafunzi watakuwa wanasoma masomo yote ya mchepuo wa PGM au huwa wanasoma nini haswa?
Mwenye uelewa anieleweshe