NG'HOMELE
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 470
- 147
Tafadhari rejea somo hapo juu, Nina biashara ya guest house iliyosajiliwa na TRA na mamlaka ya serikari za mitaa, lakini nyumba si yangu mimi nimpangaji na ninashida ya pesa ili kuboresha biashara yangu, Je kwa wazoefu wa masuala ya bank naweza kukopa kwenye mabenki biashara km dhamana yangu? ahsanten!