Msaada wa mawazo kuhusu mkopo kwa continuous walioanza 2020/2021

Samahani wakuu, nahitaji kuangalia allocation zetu za 2020/2021 tulizowekewa mwaka jana, zikaonyesha allocation za Miaka mitatu AMBAYO ni 2021, 2022, na 2023
Naingia kwenye system zao sizioni..
Pia jee..Kuna uwezekano wakabadili allocation walizoziweka MWANZONI??

Ahsante, karibuni kwa ushauri
Haziwez kuonekana Tena ulitakiwa uscreenshot Mwaka jana Mkuu
 
Hata mimi nimeona hilo tatizo nikiingia wananiambia niweke employers details.

Sijui nani kawadanganya nimepata ajira.

Hata ukiwauliza hawajibu
Ni tatizo la kimtandao kwa baadhi ya acc kuleta matokeo hayo bilashaka wahusika watafanyia kazi acc mbili Jana nimekutana na hayo while zingine zaid ya 100 niliowajazia hazikuwa na shida hii
 
Mimi nilipata mkopo mwaka Jana ila niliscreenshot allocation za miaka yote 3 na mpaka sasa ninazo licha ya hvyo hata zingepotea Leo siwezi kusahau allocation zangu.
Allocation zilianza kupotea baada ya kufunguliwa kwa OLAMS kwa mwaka mpya wa masomo kisha kuruhusu wanafunzi wapya kuomba mikopo.
Ila uhalisia ni kuwa allocation ulizowekewa kwa miaka yako yote mitatu haziwezi kubadilika, Me nakumbuka kuwa tulikatwa boom quarter 4 kwa mwaka wa kwanza(41,000Tsh).

Ila mwaka huu bodi wamekuja kitofauti kwa hawa ndugu zetu, wameonesha allocation kwa mwaka wa kwanza tu, miaka mingine hawajaweka na hata mwanafunzi hawezi kujua kuwa kapata kiasi gani miaka yake ijayo ya masomo hii ingeweza kupunguza Frustrations kwa wanafunzi kutokana na ufinyu wa kiasi cha pesa kwa mwaka wa kwanza..!!
Labda inamaaan kuwa kiasi alichopata mwaka huu wa kwanza ndicho kitadominate miaka yake yote ya masomo(Yaan kama inaonesha mwanafunzi kapata 20% ya ada basi miaka yote atapata hiyohyo).
 
Ila kusema ukweli ni Bora KUJUA n shngapi utajazia kwa Miaka yote mi3 kuliko katikati ya Miaka kushtuliwa ujazie kias kikubwa Cha hela
 
ni kwel, ila ukiona hvyo ujue pesa haitoshi...ndy maan hawa wanafunz wa mwaka huu wamewekew tu kw mwaka mmoja...so mwakan watapangiw allocation mpya....ila kazi ipo aise.
 
Ngoja waje kukupa muongozo...
Dah huyu jamaa anaona raha kutoa hiyo comment kwa kila mada, sijui ni ushamba au ni ujeuri wa hovyo tu. Tuwe waungwana pale mtu anapokuwa na maulizo na jambo linalomtatiza sasa wewe kila uzi unaelekeza mtu asubili muongozo.
 
HAKIKA
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom