Srebrina
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 944
- 405
Habari wana JF toka selection zimetoka mpaka Leo kichwa changu hakijakaa sawa, shida nilo nayo ni kwamba nimepangwa PGM ifunda tech lakini asilimia kubwa ya walimu ya shule nilomalizia wananambia kuwa hii combi haina maana ivo nikabadilishe ila hawanambii sababu ivo nikaona sio mbaya kuja kuomba ushauri kabla sija badili, nikiwa na maswali hata kama combi haina maana tz Kwann IPO? Na baada ya advance INA faculty ngapi chuoni? Zipi? Na zina manufaa apa bongo?
Nawasilisha msaada wenu ndio mkombozi wangu kabla sijakurupuka
Nawasilisha msaada wenu ndio mkombozi wangu kabla sijakurupuka