Msaada wa mawazo kuhusu biashara ya fast food/street food

Xoxa wear

Member
Aug 22, 2019
29
33
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu na nilikuwa na mtaji wa mil 1.3 plan zangu zimelenga kufungua sehemu ya fast food au street food
Ambayo hasa itakuwa na product ya kuku na samaki na vitafunio kama kachori,sambusa na vingine vingi
Pia na vinywaji
Je ni maeneo gani yatafaa
Je mtaji wangu unatosha
Je ni gharama gani za kukodi eneo
Je gharama za kutengeneza kibanda japo cha kianzia ni shingapi
 
Nunua pikipiki na iyo mil.1.3 usambaze nayo bidhaa kama ulizozitaja hapo juu.
 
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu na nilikuwa na mtaji wa mil 1.3 plan zangu zimelenga kufungua sehemu ya fast food au street food
Ambayo hasa itakuwa na product ya kuku na samaki na vitafunio kama kachori,sambusa na vingine vingi
Pia na vinywaji
Je ni maeneo gani yatafaa
Je mtaji wangu unatosha
Je ni gharama gani za kukodi eneo
Je gharama za kutengeneza kibanda japo cha kianzia ni shingapi
Maeneo yatakayofaa ni maeneo yenye watu wengi haswa karibu na stendi.

Pesa yako haitoshi kwa sababu kodi tu itachukua kama laki tisa hivi (150000×6) .
 
Back
Top Bottom