Msaada wa mawazo,jinsi ya kupata funds ya kuendesha micro-finance coy

Fidelis big

Senior Member
Aug 31, 2011
114
34
Habari wana JF,

Mimi ni graduate,kutokana na tatizo la ajira Tz nimeamua kuanzisha micro-finance company kwaajili ya kutoa mikopo kwa wajasiriamali wadogo amboyo tayari nimeshairegister na nimeshapata location ya office na baadhi ya vitendea kazi nimeshanunua kilchobaki ni leseni ya biashara ambayo muda simrefu nitakabidhiwa baada ya kukamilisha process za kufile estimate of income kwaajili ya taxation.

Kubwa lililonileta kwenye hili jukwaa ni kupata ushauri jinsi ya kupata funds kwaajili ya kuendesha mradi wangu;
Nilikuwa na mategemeo ya kupata starting capital kutoka NMB ila baadhi ya masharti yao yamenikwamisha kama financial statement na ni biz mpya pamoja na collateral,mimi nina kiwanja chenye title na thamani zaidi ya 10mil. ambacho ndo kilikuwa tegemeo langu la kupata starting funds ila jamaa wameniambia hawachukui hati ya kiwanja ambocho hakijajengwa. Je kuna bank wanakubali kuchukua hati ya kiwanja kama collateral? NB. nina current account nmb zaidi ya miaka minne na statement yake ni yakuungaunga japo siyo mbaya
Pia nilikuwa na mpango wa kurise funds kwa kuuza baadhi ya share kwa watakao kuwa tayari, na nilweka malengo malengo yakupokea deposits kwa interest kutoka kwa watu wenye surplus na wafanyabiashara wa misimu na kukopesha vikundi vya watu watanowatano ambayo pia ingeniongezea mtaji na wigo wa kukopesha watu wengi zaidi.

Kwa wadau wanaoweza kunisaidia ushauri jinsi ya kupata starting funds kwa haraka coz nimeshalipa rent ya office nainaenda bure tu nawakaribisha kwa mawazo mbalimbali.
Nitatoa maelezo zaidi kwa atakaeitaji, hapo nimeweka kwaufupi tu, PM inaruhusiwa kwa confidentiality.
Thanks in advance!
 
Ujajipanga mkuu uliharakisha mambo na bado nahisi ujajipanga vyema..huo mradi wako unaitaji kutulia vyema na kujipanga la sivyo utakusumbua sana..

Okay jaribu Equity bank wapo nyerere road.
 
Ninavyofahamu Microfinance zote zinakopa kutoka kwenye mabenki mbali mbali. Jaribu kutembelea banks mpya kama EQUITY BANK etc.
 
Ujajipanga mkuu uliharakisha mambo na bado nahisi ujajipanga vyema..huo mradi wako unaitaji kutulia vyema na kujipanga la sivyo utakusumbua sana..

Okay jaribu Equity bank wapo nyerere road.

Nipe mwongozo na unirekebishe nilipokurupuka!

Thanks mkuu,nitafanyia kazi ushauri wako
 
Benki ya Wanawake wanaweza kuchukua hiyo title deed na ukapata kamkopo fulani. Ila biashara ya microfinance huwa haianzishwi na mitaji mikubwa. Anza hata na milioni na ukopeshe elfu 50 hamsini kwa wiki. anza polepole ili ujifunze. Tafuta wafanyabiashara waaminifu lakini wenye uhitaji. Tafuta rejesho dogo na utafanikiwa.
 
Thanks, nitafanyia kazi ushauri wako,,
 
Nitafute kwa namba yangu 0712 965184 nikupe mawazo naamini yatakusaidia sana coz hata mm nafanya hizo ishu
 
Back
Top Bottom