Kibwengo
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 6,838
- 5,294
Kiafya ina changamoto, lakini kuua kichanga inachangamoto zaidi! Wewe ndiye mwanaume, huyo mkeo asikupangie maamuzi. Issue ya kutoa siiafiki kabisa na hata kama mkeo anaipa support usikubali.Na wewe acha aibu, mwanaume unakabiliana na changamoto sio kuzikimbia! Dont find simple soln to complex matters!
Huyo aliye tumboni ni mwanao, mtetee, mlinde na muoneshe upendo hali yu tumboni! Masuala ya kuwaza kumtoa yanamuumiza.
Kama mama hana tatizo kiafya litakalopelekea kudhoofika na kushindwa kuzaa Usimpe nafasi kuwaza ujinga wa kumuua mwanao!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi unashika mimba huyo mtoto, ulikuwa umemwachsha maziwa?Yani hili ni balaa blue inabid nicheke tuu mimi nilipata mimba ya pili mwanangu ana miezi 7 nilichanganyikiwa sana sasa ww mwezi 1???? Poleni sana jamani ila kila kitu kinawezekana mkeo atajifungua salama ila mapenzi na kumjali huyo kichanga kunahitajika sana sana lishe muhimu la sivyo atapata utapiamlo mama aendelee kumnyonyesha hadi mimba ifikie miezi 6 au 7 aache kwa ajili ya matayarisho ya kichanga mwingine lol. Watoto wanapishana miezi 10 yani nachekaaa kama mazuri lol
Ni kuzaa tu mkuu huna jinsi na pole sana kwa unayopitia.........
Mie ni Mkristo,sorry siijui imani yako ila nilipokuwa madhabahuni siku ya ndoa yangu ktk maswali niliyoulizwa mimi na mke wangu tukayajibu kwa vinywa vyetu {RC wote huwa tunaulizwa} moja wapo lilikuwa ni “je mpo tayari kuwapokea,kuwalea na kuwatunza watoto mtakaopewa na Mungu?”,kiimani tendo lolote la ndoa mtakalolifanya ndani ya ndoa yenu Takatifu matokeo yoyote yatakayojitokeza iwe ni kwa kupenda sisi au vinginevyo huo huwa mpango wa Mungu sasa ktk viapo kama hivi unadhani una uwezo wa kufanya nini ili hiki kiumbe kisiuone mwanga?
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Si huwa mpaka siku arobaini eti?? .. Kwanini mkeo hajatumia uzazi wa mpango???
mkuu una kasi balaa
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi fuata ushauri huo, na wadau hapo juu wamegusia hilo.
Kwa sasa tafuta ushauri zaidi wa namna ya kulea ili kumuepusha huyu aliyepo na madhara mbalimbali ya kiafya maana ndio yuko kwenye uwezekano mkubwa wa kudhurika kutokana na mama kuwa mjamzito
Condom hakuna !!?? Mbona mlafi sana wewe...
UShauri: Kuwa makini ukicheza utampoteza mtoto aliyezaliwa ,Atadhoofika sana.. Kuna jirani yangu alizika watoto Wawili kwa staili hii kama yako.
Tafuta Wataalamu wakusaidie.
Pole.
Toeni alafu ww mtu mzima c kila jambo la kuomba ushauri kenge maji ww
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiogope MUNGU atawawezesha kuwalea wote wawili kila jambo lina kusudi Kwa faida au kutupa somo kwahiyo kosa halihalalishwi Kwa kufanya kosa jingine mshukuru MUNGU yeye atawakuza hutaamini USITOE MIMBA kutoa mimba ni uuaji hautakuwa tofauti na jambazi anayepora Kwa kupiga risasi au mchawi anayeloga na kuwatoa watu kafara.... Usiogope mwambie MUNGU tu akuwezeshe na utawalea vizuri tu. Wakati ujao utakuwa umejifunza pia kuwa makini
Sent using Jamii Forums mobile app
Maamuzi bado ni yenu tunaweza kushauri hapa lkn mwenzio akang'ang'ania lake
Mkuu hatuna cha kukushauri, we ni baba kijacho, hongera watoto ni baraka buana na kwa kuwa imesha tokea hamna namna na hakuna kufanya abortion,
Kwafuraha mtoto amezaliwa nikajisemea na mke wangu kua mwanetu akifikisha miaka minne ndo tutawaza kuongeza mwingine na tutatumia njia za uzaz wa mpango kwa kalenda
Rakn jana naambiwa na wife kua nmjamzito nlishangaa kwel hatuna raha kwel kwa hili na tangia ajifungue hajaingia kwenye mzunguko wa hedhi inamaana kabeba mimba bila kuona sikuzake
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa wakati mnakatinkiana mauno,hamkuyajua yote hayo?