exalioth
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 2,189
- 3,684
Wakuu wanajamvi bila kupoteza mda iko ivi mke wangu kajifungua mwezi wa12 mwaka jana baada ya kujifungua nmekaa wiki tatu bila kufanya chochote,
Sku kazaa zilizofuatia nmefanya tendo mara kazaa ndani ya mwezi uliopta wa1 rakn jana mke wangu kapima amegundulika kua anaujauzito wa mwezi1 yaani mpaka nmesononeka maana mtoto wangu bado mdogo mno nisaidieni kimawazo.
Toa mchango wako nisingependa kejeli
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app