Msaada wa mawazo jamani, mke wangu kashika mimba kitoto bado kichanga.

ushauri gani unampa mwenzako
Bado sijamaliza kutoa ushauri japo nimesema kuitoa mimba ni suluhu ya kwanza.

Nimemuuliza Daktari(mtaalamu wa uzazi) aliyempima aliwashauri nini, nataka nijue hili ili niweze kuhitimisha ushauri wangu.
 
Hao watakua kama mapacha jiandae kuwalea kwa jinsi hiyo utaenjoy sana ukishacop na mazingira... cha muhimu concentrate ktk kumlea huyo aliepo challenge kubwa ni kupata utapia mlo na magonjwa yanayohusiana na virutubisho coz hata nyonya vzr...
Yupo bro wng alipata the same case aliprefer arbotion lkn nkamshauri nkamwambia alieko tumbon ni mtoto kama huyo why msimuue huyo aliehai ili kumpisha huyo anaekuja?
Bro akasema weeee kesi hyo basi nkamwambia na hyo arbotion pia ni kesi vilevile...
Akarelax wakalea mimba na mtoto akazaliwa na maisha yanaendelea kama kawa...
Ila anahistoria watoto wawili ndan ya mwaka mmoja January na november

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! January na November sio mchezo.
 
Mke wangu ashasema mengi mno anasstza tuitoe

Sent using Jamii Forums mobile app
Msitoe, tatizo mnawaza jamii itawachukuliaje, ilihali wanajamii kila mmoja yupo bize na matatizo yake, atashtuka leo kesho yameisha, amber ruty tigo imesambaa kila mtu kamwona ila leo hii kila mtu na maisha yake hamna hata anaehangaika na yasiyo muhusu, sasa iweje wewe kumpa mkeo mimba ya karibu ikubugudhi, kwani hao unaodhani watakuchulia vipi wanakulisha au wanachangia senti yoyote kwenye maisha yako, kwa namna yoyote ukifanya kusudi la kutoa hiyo mimba ni unafiki kama walivyo wanasiasa, kwa hiyo acha unafiki tena kua proud umeua ndege wawili kwa jiwe moja, hapo mnajipa likizo ya kuzaa hata miaka 3 au 4 nyie mnalea tu.
 
Asante,
Aisee pole sana, sitaki kukumbuka maumivu na mateso ya hali hiyo, kwanza inahitaji ujasiri mkubwa sana kukabiliana na hali hiyo.
Ushauri wangu leeni mimba japo sio rahis sana, utakuwa na migongano ya aina 2, ukimuwazia mtoto mnayemlea na ukimuwazia aliye tumboni ambaye hana hatia yoyote.
Ndugu yangu usikubali kupokea ushauri kutoa mimba, labda kama lipo tatizo la kiafya kwani kutoa hiyo mimba itakutafuna milele lakini kuzaa ni swala la miezi michache tu hali hiyo itapotea.
Mimi nafurahia maisha wallah na vijana wangu waliotangulizana na nikiwaza jinsi nilivyoteseka kukubaliana na hali ile basi najiona mimi nilikuwa baba imara niliyekataa kukatisha maisha ya kiumbe kisichokuwa na hatia kisa ndugu na majirani, Ishi maisha yako Mungu atawabariki zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu wanajamvi bila kupoteza mda iko ivi mke wangu kajifungua mwezi wa12 mwaka jana baada ya kujifungua nmekaa wiki tatu bila kufanya chochote,

Sku kazaa zilizofuatia nmefanya tendo mara kazaa ndani ya mwezi uliopta wa1 rakn jana mke wangu kapima amegundulika kua anaujauzito wa mwezi1 yaani mpaka nmesononeka maana mtoto wangu bado mdogo mno nisaidieni kimawazo.

Toa mchango wako nisingependa kejeli
Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Aleee we hutaki watoto wengine? Hiyo inatokea kwa wanawake ambao wananyonyesha lakini bado wanaenda katika hedhi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mkuu nimeshaupata mchango wako tayar
Msitoe, tatizo mnawaza jamii itawachukuliaje, ilihali wanajamii kila mmoja yupo bize na matatizo yake, atashtuka leo kesho yameisha, amber ruty tigo imesambaa kila mtu kamwona ila leo hii kila mtu na maisha yake hamna hata anaehangaika na yasiyo muhusu, sasa iweje wewe kumpa mkeo mimba ya karibu ikubugudhi, kwani hao unaodhani watakuchulia vipi wanakulisha au wanachangia senti yoyote kwenye maisha yako, kwa namna yoyote ukifanya kusudi la kutoa hiyo mimba ni unafiki kama walivyo wanasiasa, kwa hiyo acha unafiki tena kua proud umeua ndege wawili kwa jiwe moja, hapo mnajipa likizo ya kuzaa hata miaka 3 au 4 nyie mnalea tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ata kalenda imechangua maana hajaingia kwenye mzunguko wa hedhi

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndivyo inavyokua kwa mwanamke na ni wakati huo ambapo mtashauriwa mkiwa wote kuchagua njia sahihi ya uzazi wa mpango na zipo nyingi. Sasa ukija kwenye dini unaambiwa eti kutumia njia hizo eti ni dhambi! Msala ukitokea, unapambana mwenyewe.
 
Condom hakuna !!?? Mbona mlafi sana wewe...
UShauri: Kuwa makini ukicheza utampoteza mtoto aliyezaliwa ,Atadhoofika sana.. Kuna jirani yangu alizika watoto Wawili kwa staili hii kama yako.
Tafuta Wataalamu wakusaidie.

Pole.
 
Aliambiwa hospital tulee japo naona

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi fuata ushauri huo, na wadau hapo juu wamegusia hilo.

Kwa sasa tafuta ushauri zaidi wa namna ya kulea ili kumuepusha huyu aliyepo na madhara mbalimbali ya kiafya maana ndio yuko kwenye uwezekano mkubwa wa kudhurika kutokana na mama kuwa mjamzito
 
Alafu utashangaa baadae akaja kuwa raisi huyo ambaye walitaka kumuua

Back
Top Bottom