exalioth
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 2,189
- 3,684
- Thread starter
- #101
Kwaio unamaana mwanamke akijifungua hakuna yai lakwanza kutoka linakuja kmykmy lispobahatika kukutana na mbegu badae ndo inakua period sio
Hapa naona kuna jambo watu wanachanganya.Kitaalamu ipo hivi , mzunguko wa mwanamke umegawanyika katika sehemu kuu mbili ; follicular phase ambayo ni kuanzia day first hadi day 14(ovulation day).baada ya follicular inafuatia luteal phase ambayo huanza day 15 (baada ya ovulation) mpaka day 28 ( beggining of menstruation) .kwa hiyo unaweza ona hapo kinachotangulia ni ovulation then ndo inafuta menstruation, so mke wako alikuwa ameovulate yai, ingetokea hukumpa hiyo sperm basi angeona siku mwisho wa mwezi huo aliopata mimba.yani inaanza ovulation (yai kupevuka ), yai lisiporutubishwa na sperm ndo linatoka pamoja na ukuta wa tumbo kama hedhi.
Hope umenielewa ingawa nimejitahidi sana kusumarize[/QUOTE]
Sent using Jamii Forums mobile app