Msaada wa mawasiliano ya familia ya Marehemu Fanuel Sedekia

huyo mzee hakufa bahat mbaya, kwa ninavyojua na visa nilivyosikia, ni kuwa aliuliwa(kafara) na mtumishi fulan mnae muamni sana, mtumishi huyo hupenda kufanya masafari ya nchini israel(kuhij/kufanya ibada) ambapo kila mwaka alkuwa akienda na watu, huwashawish wafuasi wake(waamini wa semina zake) waungane kwenda israel kuomba, na huyo sedekia kifo kilmkuta huko huko israel....

Acheni kuwaamini hao matapeli wanaojiita walimu, wachungaji na manabii, hakuna nabii wala mchungji wa kweli karne hii, ukwel mchungu but acha niongee wazi, that singer(sedekia) he didn't deserve to die too early, but washirikina wanaojiita watumishi, walimfanyia ubaya..Ogopa sana mtumish anaejifanya anaijua iyo israel feki ya wale wazungu waarabu wa middle east, israel ya kwel ni Africa, sasa hayo matapel yanamuomba Mungu yupi anaeshindwa kuyaonesha mafumbo ya biblia? ,
nawaona hata humu wafusi wa huyo mtumishi jinsi alivyo wabrainwash mpka mmekuwa watumwa wake mnamuona wamaana, kumbe useless kabsa.....
IPO SIKU WALIO HUSIKA WATAUMBUKA NA WATALIPWA KWA USHETANI WAO..
Hili pando unalopanda hapa uwe na uhakika Kuna siku utalipa
Utajuta kuzaliwa. Unasubutu kuzushia Watumishi wa Mungu uongo?
Kwani Sedekia angeishi milele?
 
Ila jamani twende mbele turudi ,hawa watumishi na wenza wao ni kuwaangalia kwa jicho la tatu, siamini kama leo hii mke wa mchungaji (mama mchungaji) kujiselfie akijichezea nyeti zake live bila chenga..

Ile connection sijaamini aisee moaka time hii
 
siamini kama leo hii mke wa mchungaji (mama mchungaji) kujiselfie akijichezea nyeti zake live bila chenga
emoji24.png
Wapi huko nchi hii...?
 
Watanzania mnapenda habari za majungu
huyo mzee hakufa bahat mbaya, kwa ninavyojua na visa nilivyosikia, ni kuwa aliuliwa(kafara) na mtumishi fulan mnae muamni sana, mtumishi huyo hupenda kufanya masafari ya nchini israel(kuhij/kufanya ibada) ambapo kila mwaka alkuwa akienda na watu, huwashawish wafuasi wake(waamini wa semina zake) waungane kwenda israel kuomba, na huyo sedekia kifo kilmkuta huko huko israel....

Acheni kuwaamini hao matapeli wanaojiita walimu, wachungaji na manabii, hakuna nabii wala mchungji wa kweli karne hii, ukwel mchungu but acha niongee wazi, that singer(sedekia) he didn't deserve to die too early, but washirikina wanaojiita watumishi, walimfanyia ubaya..Ogopa sana mtumish anaejifanya anaijua iyo israel feki ya wale wazungu waarabu wa middle east, israel ya kwel ni Africa, sasa hayo matapel yanamuomba Mungu yupi anaeshindwa kuyaonesha mafumbo ya biblia? ,
nawaona hata humu wafusi wa huyo mtumishi jinsi alivyo wabrainwash mpka mmekuwa watumwa wake mnamuona wamaana, kumbe useless kabsa.....
IPO SIKU WALIO HUSIKA WATAUMBUKA NA WATALIPWA KWA USHETANI WAO..
 
Ila jamani twende mbele turudi ,hawa watumishi na wenza wao ni kuwaangalia kwa jicho la tatu, siamini kama leo hii mke wa mchungaji (mama mchungaji) kujiselfie akijichezea nyeti zake live bila chenga..

Ile connection sijaamini aisee moaka time hii
yule ni mama mchungaji wa wapi?,
 
Msimuliaji mmoja wa visa vya kuzimu kwenye media aliwahi sema jamaa alitolewa kafara na mwendakuzimu mmoja hivi.Huyo msimuliaji alitabiri ujio wa obama na mabus fulani ya rangi nyekundu yalisambaa nchi nzima kwa umaarufu na safari za uhakika,siku hizi yalifilisika hayapo tena, wakati mmiliki wake anakabidhiwa mabus na obama pia kukabidhiwa ufalme alivishuhudia kuzimu.
Hii ni kama ni unayaamini haya.
Duuu tutajie hat iyo kampuni Kwa code aisee
 
Alikuaga jirani mwema sana ila hakumaliza mwaka toka mumewe kufa akaanza kula vyombo kama pambula na huyo dreva taksi
Daah! Umenikumbusha mwanangu pampula, jamaa alikuwa anapiga maji balaa, hivi ni nani alikuwa anamchora Pampula?
 
Back
Top Bottom