Msaada wa mawasiliano ya familia ya Marehemu Fanuel Sedekia

Hebu watafute, kuna wakati niliulizia ni kama yule mkewe aliishaolewa.

Wale binti zake wawili sijui wako wapi.

Watu wa arusha watakuwa wanaelewa zaidi.
 
Lakini wandugu huyo mke wa marehemu tumepata habari yake Ila picha haijawekwa ili kunogesha ubuyu jamani so tulishakubaliana ndugu zangu kwamba habari iendane na picha? Fanyeni utaratibu basi maana kama anafaa watu tukaongeze mtoto mwingine tumnyang'anye huyo tax driver

FB_IMG_1631868639363.jpg

FB_IMG_1631868689745.jpg

FB_IMG_1631868657626.jpg
 
Shetani yupo bro hakuwa amesimama imara kwenye imani besides tabia ni kama ngozi ya mwili kuibadili ni ngumu
Wanawake sometimes kukua ni rahisi Sana.
Sasa hivi huyo mama anafanya nini?
Mbona kwenye videos zao za nyimbo mama huyu alionekana mtakatifu sana
 
jamaa aliangalia sura,badala ya tabia !! poor man of God!,shida ni kwa watt aliowaacha,heri Kama mwakasege ameamua kuwalea itakuwa vyema !!
Ni kweli ni tabia japo wengine wanaficha tabia zao mbaya na kuja kuonesha uhalisia wao wakiingia kwenye ndoa. Lakini pia kuokoka na kumfuata Yesu ni suala binafsi. Si la kifamilia!

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Kweli wewe unawafahamu.Tena si Kigoma bali ni Katumba huko Mpanda Katavi.Kwenye makambi ya wakimbizi wa Burundi wa miaka ya 1972 .Asili yao ni Burundi sema wamezaliwa Huko kambini. Na wengi husema wanatoka Kigoma.
Alikuaga jirani mwema sana ila hakumaliza mwaka toka mumewe kufa akaanza kula vyombo kama pambula na huyo dreva taksi
 
Mama alishaolewa wala hakupoteza muda punde tu Jamaa alipofariki
Tena usinikumbushe kabisa. Wanawake!!!!!
 
huyo mzee hakufa bahat mbaya, kwa ninavyojua na visa nilivyosikia, ni kuwa aliuliwa(kafara) na mtumishi fulan mnae muamni sana, mtumishi huyo hupenda kufanya masafari ya nchini israel(kuhij/kufanya ibada) ambapo kila mwaka alkuwa akienda na watu, huwashawish wafuasi wake(waamini wa semina zake) waungane kwenda israel kuomba, na huyo sedekia kifo kilmkuta huko huko israel....

Acheni kuwaamini hao matapeli wanaojiita walimu, wachungaji na manabii, hakuna nabii wala mchungji wa kweli karne hii, ukwel mchungu but acha niongee wazi, that singer(sedekia) he didn't deserve to die too early, but washirikina wanaojiita watumishi, walimfanyia ubaya..Ogopa sana mtumish anaejifanya anaijua iyo israel feki ya wale wazungu waarabu wa middle east, israel ya kwel ni Africa, sasa hayo matapel yanamuomba Mungu yupi anaeshindwa kuyaonesha mafumbo ya biblia? ,
nawaona hata humu wafusi wa huyo mtumishi jinsi alivyo wabrainwash mpka mmekuwa watumwa wake mnamuona wamaana, kumbe useless kabsa.....
IPO SIKU WALIO HUSIKA WATAUMBUKA NA WATALIPWA KWA USHETANI WAO..
 
Naona kuna dalili ya thread mpya kuanza soon 😅😅

Twende kazi dadeki
 
Mbona Ina kuja picha ya mchungaji naniliiiii nabii nani vileeeee.
 
Back
Top Bottom