Msaada wa maoni: Naweza kupata mke kupitia JF?

Unaweza kupata tena wapo wengi kama unataka ushauri zaidi jaribu kumcheki maria roza.
 
ni hilo kwa sasa wadau naombeni maoni

hilo nakuhakikishia 100%....usisikilize mtu mwingine.....atakae kudanganya kuwa haiwezekani.......ni hilo tu kutoka kwangu kwa sasa......
 
preta kwann unasema hivyo hata kama nina nia ya dhati?
 
Kama kweli una nia ya dhati naamini utapata. Kila la kheri.
 
asanteni kwa kunipa moyo au niweke vigezo nini? kweli niko siliazi niliwahi kusoma post hapa jf kuwa jamaa kapata jiko kupitia jf
 
ndiyo.unaweza ukapata lakini unatakiwa uwe mvumilivu kwasababu wanawake wengi wa jf wanajifanya matawi halafu ni staki nataka.usihofu wengi ni masingo na wametendwa sana karibia wote.so usiwaonyeshe makucha.we jifanye mlokole utapata tu.mi nilikuwa naye humuhumu ila kwa sasa kanitema.alinishitukia sijatulia.ila nshachoma.mia
 
Unaweza ila kama upo serious, kuna wengine tunawaona tu wanaomba wachumba hawarudi kusema wamepata au wamekosa
 
Tatizo sio kupata, tatizo utaweza kumhandle? Utahimili mikikimikiki yake? Jiachie mkuu mwaga CV zako watu wachangamkie tenda...
 
ndiyo.unaweza ukapata lakini unatakiwa uwe mvumilivu kwasababu wanawake wengi wa jf wanajifanya matawi halafu ni staki nataka.usihofu wengi ni masingo na wametendwa sana karibia wote.so usiwaonyeshe makucha.we jifanye mlokole utapata tu.mi nilikuwa naye humuhumu ila kwa sasa kanitema.alinishitukia sijatulia.ila nshachoma.mia
<br />
<br />
Sijui umemwagwa wewe siku hz unamajibu mabaayaa
 
Back
Top Bottom