ni hilo kwa sasa wadau naombeni maoni
ushapata?mambo?Unaweza, usiogope.
<br />ndiyo.unaweza ukapata lakini unatakiwa uwe mvumilivu kwasababu wanawake wengi wa jf wanajifanya matawi halafu ni staki nataka.usihofu wengi ni masingo na wametendwa sana karibia wote.so usiwaonyeshe makucha.we jifanye mlokole utapata tu.mi nilikuwa naye humuhumu ila kwa sasa kanitema.alinishitukia sijatulia.ila nshachoma.mia
<br />ushapata?mambo?
Umejaribu frnd finder, tagid,FB,HI5.........????ni hilo kwa sasa wadau naombeni maoni