Msaada wa manunuzi ya visa

ukabu

JF-Expert Member
Dec 9, 2011
212
68
Msaa ninakwama hapa nina kadi yangu ya visa ya crdb hua naitumia kufanya miamla mbali mbali online sasa changamoto imekuja nataka nilipie lav software flan bei yake ni usd 75 kila nikijarbu kununua naletewa msg hii ..nimeenda had crdb bank ila hao jamaa wa hapa branch seems nao hawana knowledge ya hii kitu

1. Mwenye idea ya nawezaje kulipia

Msaada tafadhali
IMG_20190607_211052_3.jpeg
 
Umeshindwa ku verify kama card ni yako wakat unafanya manunuzi.

Na card yako imesimamishwa kwa muda

Msaada rudi crdb kisha waambie ulisahau Pin za online purchase ,hivyo watakusajili upya ndio utaweza kuendelea na manunuzi
 
Kama ulivyojibiwa hapo juu umekuwa suspended haijalishi hata ujaribu mara ngapi hutofanikiwa mpaka wahusika wakusaidie.

Kwa manunuzi ya haraka online tumia mpesa master card, unapata namba ya kadi ndani ya sekunde, unaisajili paypal hapo hapo na kuanza kununua.
 
Ingia kwenye website yao ukiwa na details za card yako. Angalia ile sehemu ya kuchart live waelezee tatizo lako litatatuliwa ndani ya muda mfupi, utatumiwa sms na email utaiactivate card upya, au piga huduma kwa wateja namba zao zipo kwenye website yao.
Msaa ninakwama hapa nina kadi yangu ya visa ya crdb hua naitumia kufanya miamla mbali mbali online sasa changamoto imekuja nataka nilipie lav software flan bei yake ni usd 75 kila nikijarbu kununua naletewa msg hii ..nimeenda had crdb bank ila hao jamaa wa hapa branch seems nao hawana knowledge ya hii kitu

1. Mwenye idea ya nawezaje kulipia

Msaada tafadhaliView attachment 1120979
 
Ndungu card ipo ki mashaka awakuamin au ww unae nunua kitu online una nunua kitu kwa jina lakike then kwenye bank una save jina la kiume uwenda ndo tatizo
 
Back
Top Bottom