Msaada wa makeup kit

Mediocrist

JF-Expert Member
Jan 27, 2015
1,691
924
Habari! wakuu naweza pata maelekezo ni wapi naweza pata makeup kit kwa hapa Dar ni maduka yapi hasa,huyu mtu anayehitaji hii kitu ni beginner ko ni vitu vipi essential zaidi anahitajika asivikose,

Pia grade zake na bei zake,vipi naweza jua hii fake au original,na njia ipi bora katika kupunguza gharama na kupata kitu bora kuagiza nje au hapa Tz.Ahsnteh na karibuni mwenye ushauri,maoni na nyongeza pia nayapokea.
 
mpendwa kuna uzi ulianzishwa humu ulikuwa unaitwa jinsi ya kupaka makeup kama za kina lulu. utafute umeelekeza sana mambo ya make up na video wamerusha for begginers. usome huo una maelekezo mazuri tu kwa shida yako.
 
Ubarikiwe sana na nimeupitia ila kuna baadhi bado sijayapata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom