Msaada wa majina ya watoto Pacha

Polen na majukumu ya ujenzi wa taifa letu tz

Naingia madani moja kwa moja
Mwenzenu nimetunukiwa na mwenyez mungu watoto pacha wa kike apo tar 30/3/2018 SAA 3 ucku

Naomben msaada wa majina 2 mazur yanayokarbia kufanana ya watoto wa kike
NB; itapendeza zaidi kwa yale yatakayoanza na herufi L au G

Natanguliza shukran
Sharon na Shivon
 
Nimesoma hadi page ya pili kulingana na setting za kimeo changu sijaona aliyeuliza hao watoto unataka majina ya Dini ipi, kama washajibu au kuhoji hilo basi haina shaka ngoja nifuatilie mjadala kidogo kidogo
 
Back
Top Bottom