Msaada wa majina wa nyimbo mziki wa asili zenye mdundo mzuri wa kuchezeka

debon

Senior Member
Oct 6, 2011
134
62
Za Leo wakuu, tafadhali naomba majina ya nyimbo za asili za Tanzania ambazo ni nzuri kwa kusikiliza na kucheza asanteni.
 
Kacheki wimbo wa Katope, Ligambusa, cheki Asili ya Mwafrika, cheki Mdumange, cheki Ndiyena, cheki Vanga na Segere, cheki Dereva Babili, Nkyali Muto, Maria Salome.

Nimechanganya makabila kwa sababu hujasema unataka kabila gani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom