Msaada wa mahali wanapo toa kozi/wanafundisha kutengeneza bite za kuuza kwa arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa mahali wanapo toa kozi/wanafundisha kutengeneza bite za kuuza kwa arusha

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Chasha Poultry Farm, Apr 24, 2012.

 1. Chasha Poultry Farm

  Chasha Poultry Farm Verified User

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 5,658
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Wakuu kuna mdada anapenda kufanya biashara ya Bite anakuwa anapika na kupark fresh then anauza sehemu mbalimbali, so anataka kujua kwa ARUSHA ni sehemu gani wanatoa hizo kozi au wanafundisha kutengeneza hivyo vitu,
   
 2. MimiT

  MimiT JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 604
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 80
  Nenda HELP TO SELF HELP CENTER, ipo sakina silient inn, kama unatokea mjini ukipita tu car wash ya captain unaingia kushoto fata hiyo barabara mbele ulizia( hiyo ni barabara ya gari ), short cut ya mguu ukishuka tu silent inn kuna kichochoro kinaingia kushoto, ni kama 5min unafika, ukimuuliza mtu yoyote pale atakuelekeza. Wanafundisha bites zote; crips,tambi,maandazi,doughnuts,cake, biscuits, far far, supu, mikate, half cake, pizza na makorokoro kibao ushindwe mwenyewe. miezi minne kwa laki moja tu.
   
 3. Captain22

  Captain22 JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 612
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  Eh safi sana. Na sie tumedandia
   
 4. Chasha Poultry Farm

  Chasha Poultry Farm Verified User

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 5,658
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  mkuu asante sana
   
 5. k

  kijiji New Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi mkuu!
   
 6. m

  majogajo JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ok nami ntatumia fursa hii kujua
   
 7. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  naungana na wewe mia mia,tulishampeleka beki3 hapo alipomaliza alikuwa anakimbiza mbayaaa.huhitaji tena kununua snacks nje,utakua umeokoa gharama kubwa sana,na pana uhusiano flani na DANIDA,wana facilities nzuri,hata mazingira yanavutia kweli,nilishafika hapo kama mwaka hivi umepita
   
Loading...