Msaada wa mahala wanapofundisha lugha ya kijerumani -dsm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa mahala wanapofundisha lugha ya kijerumani -dsm

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Bosco Ntaganda, Aug 7, 2012.

 1. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wakuu nitakuwepo jiji hili la nusu raha nusu taabu, kwa muda mrefu kidogo. Naomba kwa anaye fahamu sehemu ninayoweza kujifunzia lugha ya Kijerumani anisaidie, ikiwezekana na bei zao. Natanguliza shukrani
   
 2. m

  markj JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,654
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  nenda IFM:hat:
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,583
  Likes Received: 5,747
  Trophy Points: 280
 4. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mbona unatoa majibu nusu nusu mkuu? IFM nikaulizie wapi sasa?
   
 5. m

  markj JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,654
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  wewe ntaganda acha utani! yani hiyo lugha ya kidhungu na kikabila chenu! haitoshi kuendesha uasi wa nchini kwako mpaka uongezee na kijerumani bana!
   
 6. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
 7. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kaka kujua lugha nyingi ndio ujanja, una-switch wafadhili wa silaha kama hauna akili nzuri vile, hahaha

  Msalimie Samuel Mutama hapo IFM
   
Loading...