Msaada wa mafuta ya mise au mawese

kilambalambila

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
9,291
8,599
Habari wadau!

Nina shida na mafuta ya mise au yale ya mawese yanayotumika kutengenezea sabuni za magadi.

Kwa yeyote mwenye nayo au anayejua yanakopatikana tafadhali naomba anifahamishe.

Ahsante
 
MAFUTA YA MAWESE YANAPATIKANA PWANI, NITAFUTE
Habari wadau!
Nina shida na mafuta ya mise au yale ya mawese yanayotumika kutengenezea sabuni za magadi.
Kwa yeyote mwenye nayo au anayejua yanakopatikana tafadhali naomba anifahamishe.
Ahsante
[/QUOTE]
 
Watu sijui tuna matatizo gani!
Unamwambia mwenzio kuwa yapo ya kumwanga, anakuuliza Bei unaingia chaka!
Na huyo aliesema kuwa yapo pwani,, pwani ipi ina mawese?
Ninavyofahamu mm, mafuta ya mawese kwa tanzania yanapatikana sana KIGOMA. maana wao wanayatoa BURUNDU. Huko ndiko yanakolimwa kwa wingi maana ndio zao lao la kwanza la biashara ya ndani!!
Dumu la lita 20 linauzwa faranga 45 elfu. Sawa na Tsh 35-40 elfu, kulingana na late ya Tsh dhidi ya faranga ya burundi.

Mwenye kuyahitaji, anitafute.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom