Msaada wa lugha unahitajika

PastorA

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
361
275
Academician habari za Jioni hii, tafadhari kwa heshima naomba kuleta hoja yangu mezani kwenu nyie kama Wasomi na watu Weredi wenye ujuzi mbalimbali, Nahitaji kujifunza Lugha za kigeni Mfano. KIJAPAN, KIFARANSA,NA KIARABU.

kati ya lugha hizi tatu mwenye uelewa wa namna gani kwa maana ya sehemu,na gharama ambapo naweza kupata sanjari na muda wa mafunzo nitakao tumia kwa lugha husika..naomba nisaidiwe /Na pia nikipata mawasiliano nitashukuru sana
Piga 0625568600
 
Nitafute nikufunze kiarabu :0713-039875
 
Kama unahitaji kujifunza KIFARANSA umefika, The paragon International ni wataalam wa lugha ya KIFARANSA, TUNAPATIKANA Dar Ubungo, Mwenge na Posta Mpya, tuna madarasa kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa tatu usiku. beginners wanalipa laki moja kwa mwezi kwa program ya miezi mitatu. Utajipangia muda wako wa kusoma pamoja na mwalimu wako.
Baada ya kutazama hii video, wasiliana nasi kwa:
+255753 225148
+255673 225148
patri.jesus@yahoo.fr ; patri.jesus1@gmail.com
www.youtube.com/watch?v=EGC7PLIkAzw
 
Back
Top Bottom