Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 4,944
- 1,429
Hi
Nilikuwa naomba msaada wenu nadhani kuna wengi ambao mnajuwa haya mambo kiundani zaidi kuliko mimi,Nilikuwa nataka kununua toshiba satellite pro C650-18D ndio nilipanga kununua je nilikuwa nataka kama kuna wataalam zaidi wanichekie na mniambie please kama hiyo inafaa zaidi.Na Je hata nikinunua haitonisumbua???na actual kama mambo ya software zake endapo ikinigomea je itanisaidia??Link yake hii hapa
http://www.laptopsdirect.co.uk/Toshiba_Satellite_Pro_C650-18D_Laptop_PSC09E-00S009EN/version.asp
Naombeni msaada wenu please na kama sio nzuri je mnanishauri ipi nzuri ninunue??
Ahsante!