MSAADA WA KWA WANAOJUA MATATIZO HAYA KWENYE GARI

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,524
27,915
Msaada, kuna mambo matatu naomba nisaidiwe;
1) Fuel Pump ikiharibika ni dalili gani unaweza kuziona kwenye gari?
2) Side mirrors zikigoma kujikunja yaan kuzifunga je inaweza kusababishwa na nn?
3) Radio ya Gari imegoma kuwaka, tatizo ni nn??
 
1. Engine kugoma kuwaka au kukosa nguvu hasa kama unapanda mwinuko au una mzigo mkubwa ndani ya gari.

2. Inaweza kusababishwa na Misalignment, mfumo wa umeme wa side mirrors

3. Kwanza cheki kama umeme unafika kwenye Radio, kama ndio, anzia kwenye fuse ya radio kuzama ndani, nenda mpaka kwenye switch ya radio, ukifanya kwa Elimination Method, utajua tatizo ni nini!
 
Fuel pump ikiharibika.ina maana imekufa kabisaaa.

Fuel pump ikiwa imekufa basi gari haiwezi kuwaka kabisaaaa.

Lkn kama ikiwa nzima lkn haina pressure basi hapo gari itakuwa haina nguvu kbs.


Radio ya gari kugoma kuwaka inategemeana hiyo gari ni aina gani na inatumia radio gani??.
Kama ni radio za navigation radio inaweza ikawa nzima na umeme unafika lkn radio haifanyi kazi.
So hapo napo inategemeana kama ya kawaida cha kwanza angalia kama cigarate switch inafanya kazi.


Harafu juu ya side mirror hapo lazima moto unaweza ukawa haufiki au side mirror mbovu.
 
Back
Top Bottom