Nawezaje kuondoa matangazo kwenye android?

Battery low

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
315
27
Ndugu nisaidieni hili maana Apps nying znakuja na matangazo yani yananiboa kinoma tena utakuta nyngne zmefunikwa kabsa.

dowoad app inaitwa "adclear" itafute google haiko playstore. hii app ikiwa active iko mfano wa VPN yaani inafunga milango yote ya ads hadi zile ads kwenye video za yutube hutoziona tena. trust me.

kama umenipata lete mrejesho.

Kuna hizi apps zinaweza kuondoa hilo tatizo.
adaway
adblock plus
adclear n.k
Jaribu kugoogle mkuu zipo nyingi.
Hata lucky patcher ni nzuri kuna option ya kublock Goole ads


HAPA NI MUHIMU KUZINGATIA KWENYE APP HIYO UNAYOTAKA KUTOA MATANGAZO ITAONDOA MATANGAZO YALIYOKO KWA CHINI YA APP NA SIO YALE YALIOKO NDANI YA MAKALA ZA APP HIYO.
1. Ingia kwenye app ya Lucky Patcher kisha tafuta app unayotaka kutoa matangazo.
2. Kisha chagua OPEN MENU OF PATCHES
3. Bofya Create Modified APK Files
4. Kisha chagua APK WITHOUT GOOGLE ADS
5. Malizia kwa kubofya REBUILD THE APP

Natumain hii itakusaidia, Angalia Video hapo juu au soma hapa kujifunza kwa urahisi.
 
ndugu nisaidieni hili maana apps nying znakuja na matangazo yan yananiboa kinoma tena utakuta nyngne zmefunikwa kabsaaa

Root simu yako. Tafuta app inayoitwa Adaway. Hii app itakuwa ina-update host files kuzuia Ads kwenye apps unazotumia.
 
o1Wxrg


Ila mahitaji ni haya
...........................
Lkn lazima uwe ume-root au ume install super user
  • Pia ungesema ni simu ipi unatumia tungekupa njia sahihi ya kuifanyia ROOTING
  • KARIBU

ndugu nisaidieni hili maana apps nying znakuja na matangazo yan yananiboa kinoma tena utakuta nyngne zmefunikwa kabsaaa
 
Some screenshot
 

Attachments

  • 1399654418581.jpg
    1399654418581.jpg
    32.3 KB · Views: 650
  • 1399654453793.jpg
    1399654453793.jpg
    25.5 KB · Views: 633
  • 1399654506010.jpg
    1399654506010.jpg
    24.6 KB · Views: 610
Nimejaribu kuroot Sony experia z kwa kutumia vRoot na program nyingi kadhaa bila mafanikio. Msaada tafadhali
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom