Msaada wa kuzuia kupigiwa simu kutoka namba yoyote

Install app flan inaitwa private message i think

Chagua namba zieke huko hio app huwa haionekan kwenye apps zako

Hata ukimpa simu mtu unaeza pigiwa na asione kama simu inaita even txt hazionekan....unaifungua via dial pad...

No zako za siri unaeka kisha unakuwa kama unapiga simu app itafunguka

Uzuri wake pia ni kwamba hata ukisahau i close inatoka enyewe

Zpo nyng boss embu Screenshoot yenyewe inavyokuwa
 
Install app flan inaitwa private message i think

Chagua namba zieke huko hio app huwa haionekan kwenye apps zako

Hata ukimpa simu mtu unaeza pigiwa na asione kama simu inaita even txt hazionekan....unaifungua via dial pad...

No zako za siri unaeka kisha unakuwa kama unapiga simu app itafunguka

Uzuri wake pia ni kwamba hata ukisahau i close inatoka enyewe
Sasa hii si ya meseji tu
 
*21*0754125125# weka code hizo kila anae kupigia ataona hupatikan but we inakuja notification kua mtu flan kakutafta so ukiona wa muhm utampgia kama hafai unapiga chin
 
Na jee kama nataka nipigiwe na watu nliowasave tuu ntafanyaje?(japo niko nje ya mada naomba msaada)
 
*21*0754125125# weka code hizo kila anae kupigia ataona hupatikan but we inakuja notification kua mtu flan kakutafta so ukiona wa muhm utampgia kama hafai unapiga chin
Hio namba katikati naweka ya namba yangu sio ndio?
 
Kwa mtandao wa tigo ... Piga *35*0000# okay .... Kutoa hiyo huduma ...piga #35*0000# ok .... Ukishaifunga wateja watakao kupigia watapata ujumbe wa sauti kuwa namba yako imefungiwa ... Is bad
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom