Install app flan inaitwa private message i think
Chagua namba zieke huko hio app huwa haionekan kwenye apps zako
Hata ukimpa simu mtu unaeza pigiwa na asione kama simu inaita even txt hazionekan....unaifungua via dial pad...
No zako za siri unaeka kisha unakuwa kama unapiga simu app itafunguka
Uzuri wake pia ni kwamba hata ukisahau i close inatoka enyewe
Sasa hii si ya meseji tuInstall app flan inaitwa private message i think
Chagua namba zieke huko hio app huwa haionekan kwenye apps zako
Hata ukimpa simu mtu unaeza pigiwa na asione kama simu inaita even txt hazionekan....unaifungua via dial pad...
No zako za siri unaeka kisha unakuwa kama unapiga simu app itafunguka
Uzuri wake pia ni kwamba hata ukisahau i close inatoka enyewe
Sasa hii si ya meseji tu
Kila kituSasa hii si ya meseji tu
Mkuu kama alishakupa hela si umtengenezee kabati lake?Nilkuwa nataka mtu mmoja tu
Hapana weka hivyo hvyo kama ilivyoHio namba katikati naweka ya namba yangu sio ndio?
Na ukitaka kutoa Kaka...?Hapana weka hivyo hvyo kama ilivyo
#21# kutoaNa ukitaka kutoa Kaka...?
Kua mzalendo, hiko hakiwezekaniNa jee kama nataka nipigiwe na watu nliowasave tuu ntafanyaje?(japo niko nje ya mada naomba msaada)
Na jee kama nataka nipigiwe na watu nliowasave tuu ntafanyaje?(japo niko nje ya mada naomba msaada)
Kila akipiga pokea ,,,Nilkuwa nataka mtu mmoja tu