Msaada wa kuzuia kupigiwa simu kutoka namba yoyote

Sio kila ukiwa unataka kutopatikana hewani unakwepa madeni... sometimes unaweza banwa na demu muda wote sasa hapo inabidi ublock michepuko.
Install app flan inaitwa private message i think

Chagua namba zieke huko hio app huwa haionekan kwenye apps zako

Hata ukimpa simu mtu unaeza pigiwa na asione kama simu inaita even txt hazionekan....unaifungua via dial pad...

No zako za siri unaeka kisha unakuwa kama unapiga simu app itafunguka

Uzuri wake pia ni kwamba hata ukisahau i close inatoka enyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom