msaada wa kuzuia data zisipotee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa kuzuia data zisipotee

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by sop sop, Oct 10, 2012.

 1. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  naombeni software ya kuzuia data zangu zisipotee pindi ninapoiformat computer ili .........................!!!!!!!!!!!!!!
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,745
  Likes Received: 7,005
  Trophy Points: 280
  fanya kati ya haya
  back up data zako
  hapa unaweza back up data zako kwa namna mbili
  1. Namna ya kwanza ni online kwa kutafuta space kama microsoft kwenye skydrive yao wanakupa nafkiri gb zaidi ya 20 kama una internet nzuri fanya hivyo

  2. Back up kwa kutumia external devices mfano external hard disk. Hapa utatafuta hard disk yenye uwezo mkubwa wa kustore vitu then unavihamishia huko halafu unaformat ukimaliza unavirudisha.

  kufanya partition
  Pia unaweza ukafanya partition ya device yako ikawa na drive mbile let say c na d then unahamisha data kwenye d halafu unaformat c hapo utakua umemaliza.

  warning
  je tatizo ni nini hadi unaformat? Pc ipo slow? Ina matatizo? Sometime data zako zimeathiriwa na virusi au una program ambazo haziko compatible na device yako utakapozihamisha then ukaformat then ukizirudisha tatizo litabaki pale pale maana nalo pia utalirudisha so be careful sehemu hii
   
Loading...