ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,906
- 6,909
wakuu,
imezoeleka mtu anapoformat computer, hata kama alizifuta data zake zote, lakini akifanya back up, data zote anazipata. swali la kujiuliza, unapofuta, data hizo zinaenda wapi?
na kama data hizo zinapatikana kwenye computa, kwenye simu ya mkononi, majina, nyimbo, picha na message zinapatika vipi?
kuna mtu kafanikiwa kuzipata picha za zamani alizofuta, lakini kupata message na majina yaani contact, bado hatujalitegua swali hilo.
nawasilisha, naombeni mawazo myenu