radiation JF-Expert Member May 28, 2013 241 254 Dec 17, 2013 #1 wadau wa hili jukwaa naombeni mwenye kujua link ambayo naweza kuitumia ili ni install google play store kwenye NOKIA E 5 anisaidie
wadau wa hili jukwaa naombeni mwenye kujua link ambayo naweza kuitumia ili ni install google play store kwenye NOKIA E 5 anisaidie
O Ochutz JF-Expert Member May 21, 2011 465 105 Dec 17, 2013 #2 Nokia E5 OS yake ni Android? Kama sio android phone huwezi.
W Walas Ba JF-Expert Member Sep 6, 2012 3,349 1,622 Dec 17, 2013 #3 hayo n makabila mawil tofauti so haiwezkan
Pancras Suday JF-Expert Member Jun 24, 2011 8,143 3,830 Dec 17, 2013 #4 Mkuu, kuhusu hili futa kabisa kwenye mawazo kwa sababu haiwezekani kabisa
Mlendamboga JF-Expert Member Sep 14, 2011 664 334 Dec 17, 2013 #5 Tafuta symbian ndiye ndugu wa nokia siyo android
SHAROBALO JF-Expert Member Mar 17, 2011 771 349 Dec 18, 2013 #6 DOWNLOAD OVI STORE tena si ajabu ipo humo humo kwe simu.. kuna program nyingi pia kama PLAY STORE TU