Msaada wa kuwekeza-investment finance | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kuwekeza-investment finance

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by CONSULT, May 8, 2011.

 1. CONSULT

  CONSULT JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Jamani wana JF naomba msaada wa kuwapata Venture capitalist au yeyote mtu binafsi,Investment bank,commercial banks, public/parastatal funds, govt institution, ili kusaidia kuwekeza/kujenga jengo la kiuchumi ninayo plot nzuri sana katikati ya mji mmoja mashuhuri hapa TZ, na ninao uwezo wangu kiasi ila kwa jengo ninalo plan sitalimudu ni bora nipate wa kusaidiana nae aidha kwa mkopo au joint venture n.k ili mradi iwe ya muda mrefu kiasi,masharti nafuu na riba iwe reasonable, dhamana zipo za uhakika.
  naomba tuwasiliane: ushauri_ubunifu@operamail.com
   
 2. k

  kassamali JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2011
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kaka kwa nini usiweke maelezo ya kutosha plot wapi ipo mkoa gani ni aina ya gani ya jengo unataka kujenga manake majengo yapo mengi paka hapo wewe unafanya tari nini?
   
Loading...