Msaada wa kuweka picha na video JF

joshydama

JF-Expert Member
May 10, 2016
4,623
5,037
Habari za jumapili wakubwa! Natumai siku ya leo iko vizuri sana.

Naomba kufundishwa jinsi ya kupositi video na picha kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.

Karibuni wakuu!
 
Became the first to reply .
IMG-20170604-WA0007.jpg
umeelewa?
 

Attachments

  • ASLAY+-+ANGEKUONA+%28OFFICIAL+VIDEO%29.mp4
    19.6 MB · Views: 55
Wakuu salaam. Kama mada inavyojieleza hapo juu naomba nielekezwe namna ya ku attach video kwenye mada maana kili napojaribu inagoma na picha pekee ndiyo zinakubali.

Asante.
 
Kumbe tupo wengi, mimi hata picha nashindwa. Hope wanakuja watupe msaada.
 
hahaha mimi juzi nilihangaika sana kupost uzi wa video kwakutumia app kwenye simu nikashindwa nikapiga chini....

ila leo nikakumbuka tena, ngoja nitest kwa kutumia pc.

ila kwa wanaoelewa jinsi ya kuposti msaada plz, video ipo kwenye gallery ya simu na ninatumia app official kutoka store.
 
Kopi hiyo link ya video YouTube inayoanza na www.YouTube.cim/.... then njoo JF pale juu kwny icons nyingi nyingi,angalia moja inafananaje na video (imekaa kama film za zamani hivi)click hapo halaf paste hiyo link ya YouTube thn post uzi wako
ooh ahsante mkuu,ila hiyo icon unaipata wapi sas kwenye uwanja wa kuandikia hiyo message au wapi mkuu,kwa msaada zaid
 
Back
Top Bottom