Msaada wa kuunganisha simu yenye vpn na pc kwa kutumia hotspot

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Habari za muda nipo sehemu ambayo internet speed yake ni tatzo ina soma 3G ambayo haina nguvu jana nilidownload VPN ingawa kwa shida nilivyo iwasha speed ya internet ikaongeza yaani hata YOUTUBE na weza ingia wakati zamani hata Whatsapp tu picha kudownload ilikuwa ni shida. Sasa nataka niuonganishe PC yangu na simu kwa kutumia HOTSPOT na WIFI ila sasa ina connect fresh tu ila ina sa no internet connection wakati kwenye simu kuna bando la zaidi ya 2GB ni i tatzo hapo?? Au nifanye nn ili nionganishe asante ni sana
 
Mimi nafahamu ila ni process fupi ila kuielezea ndio mtihani... Kifupi inawezekana sana.

Nikipata muda nitakuja na maelezo ikiwezekana na screenshots kabisa.
 
Back
Top Bottom