Msaada wa kuundiwa project proposal

Sufian

New Member
Dec 6, 2010
2
0
Wasomi wa jf naamini hii kazi si ngumu wala ngeni kwenu.mimi nimepata bwana mmoja toka denmark yeye ni international consultant baada ya kufanya naye kazi akawa amependa ideas zangu ndipo akanishauri nibuni mradi utakaonitoa na ambao pia utaisaidia jamii inayonizunguka na yeye ataniunganisha na mashirika ya misaada ya nchini Denmark ili niwezeshwe kuufanya huo mradi. Na mradi niliouona na ambao na yeye ameukubali ni kilimo cha umwagiliaji. kinachonisumbua ni education nimejaribu kuongea na wasomi tofautix2 wengi wamenipa bei kubwa ambazo siziwezi na wengine wamejaribu kunitapeli so kama yupo yeyote atakayevutiwa kunifanyia kazi hii me nipo tayari hata kuwa shea naye mana malengo ni kuwa na NGO ambayo itasaidi vitu vingi ktk jamii.Natanguliza shukrani zangu kwenu wakubwa zangu na ninaamini mtanipa majibu mazuri.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom