Fede Masolwa
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 528
- 123
wakuu habar, naomba mnisaidie jinsi ya kutoka kwenye hii huduma ya tigobima, sim card yangu aliexpire nikaenda kurenew nikakuta wameniwekea sijui huduma hii ya tigobima nakatwa sh elf 3 na wakat mapaka buku jero kila mwez, nimekwenda tigo sana kuomba wanitoe kwani sioni umhimu wake kwangu naambiwa nenda tumeshatoa hikifika mwisho wa mwez nakatwa sasa nimechoka nimetuka, kukasilika sana n.k lakin sitolewi kwenye huduma hii, MSAADA WAKUTOKA PLS