Msaada wa kutoka kwenye TIGO BIMA, wanakula pesa tuuuu

Fede Masolwa

JF-Expert Member
Oct 26, 2013
528
123
wakuu habar, naomba mnisaidie jinsi ya kutoka kwenye hii huduma ya tigobima, sim card yangu aliexpire nikaenda kurenew nikakuta wameniwekea sijui huduma hii ya tigobima nakatwa sh elf 3 na wakat mapaka buku jero kila mwez, nimekwenda tigo sana kuomba wanitoe kwani sioni umhimu wake kwangu naambiwa nenda tumeshatoa hikifika mwisho wa mwez nakatwa sasa nimechoka nimetuka, kukasilika sana n.k lakin sitolewi kwenye huduma hii, MSAADA WAKUTOKA PLS
 
Unaishi wapi? wapigie huduma kwa wateja zaidi na zaidi wakati mwingine wadada wa customer care ni mamburula sana ila ukibahatika kukutana na mkaka atakusaidia kwa hakika, jaribu pia kupitia page yao ya facebook na uandike vya kutosha hapo watakuja kukujibu tu.
 
asante mkuu ngoja nijaribu nione
 
Habari,
Tafadhali jaribu kupiga simu yetu 0658444422 kwa msaada zaidi, simu hii ni BUREE.

Tigo Bima
Mlinzi wa familia yako.
 
Back
Top Bottom