kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,666
- 4,365
Jambo ndugu zangu
Mimi Nina tatizo la tumbo ambalo nimesha jiuliza maswali mengi sipati jibu and sometime nimesha anza kuhisi Kama nimerogwa. Mimi tumbo langu linavurugika.
Kuna muda nahisi kama vile Kuna mtu ana kwaruza ndani ya tumbo langu na linanguruma saana na ninatoa hewa chafu yaani na Jamba sana.
Nina pata choo vizuri tu ili tatizo mara nyingi linakuja pale ninapo kuwa na mawazo mengi Yaani Nina hisi tumbo lime jaa saana na Linavimba au ni kila cha kula chochote ambacho kimelala.
Na shindwa kuelewa kama ili ni tatizo gani.