Msaada wa kutafuta simu yangu Samsung S6

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Nipo Bumbuli, Lushoto nimeangusha simu yangu kwenye gari ya Noah ilikuwa charge imezima kama mnavyojua Samsung S serieos chaji ni shida

Naombeni ushauri na weza kuitrack kwa IMEI yake au kama kuna kuna mtu anaweza nisaidia kuipata hii simu naomba anai PM
 
Nasuni

Nasubiria jibu maana Na Mimi wamenikwapua simu yangu
 
Nipo Bumbuli, Lushoto nimeangusha simu yangu kwenye gari ya Noah ilikuwa charge imezima kama mnavyojua Samsung S serieos chaji ni shida

Naombeni ushauri na weza kuitrack kwa IMEI yake au kama kuna kuna mtu anaweza nisaidia kuipata hii simu naomba anai PM

Mkuu tatizo kubwa ni Polisi
Nenda na imei No karipoti polisi polisi wana kitengo cha ku deal na issue hizo
Mimi ilinitoka elf50 plus nauli kuipata simu yangu
 
Mi niliibiwa samsung a50 yangu. Kutrack kwa imei ni polisi tu wanaweza (wanawasaliana na TCRA). Unalipia 150,000. Mi sikufanya hvyo niliona nitapoteza 150,000 nyingine pia sababu jamaa wanazungusha sana.

Ushauri wangu ni kufungua tu report police upate RB no. incase ukikutana nayo kwa mtu. Ila tafta hela tu ununue simu nyingine jomba.
 
Nimekuelewa kiongoz
 
Fungua loss report then nenda polisi kitengo cha cyber crime kuna wahusika wa ku track. Hela ya mafuta si chini ya 50k
 
Back
Top Bottom