MSAADA WA KUSIKILIZA RADIO INTERNET KWA NJIA YA SIMU YA MKONONI {Nokia} | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA WA KUSIKILIZA RADIO INTERNET KWA NJIA YA SIMU YA MKONONI {Nokia}

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Hulbjd, Aug 5, 2012.

 1. Hulbjd

  Hulbjd Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Wakuu poleni na uchovu wa siku, natumaini kila mmoja humu yupo mzima wa afya na kama yupo anayeumwa basi tumwombeeni aweze kurudi hali yake ya mwanzo. Wakuu mimi ninatatizo la kutoelewa ni nyia gani mzitumiazo kusikiliza redio za internet, mfano napenda kusikiliza timesfm.co.tz ila nashinda kwa kutumia simu yangu ya mkononi.
   
Loading...