Msaada wa kuprint Thread ya Mtaji,10m/= | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kuprint Thread ya Mtaji,10m/=

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by dmaujanja1, Jun 6, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. dmaujanja1

  dmaujanja1 JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wakubwa habari za leo. Naomba msaada, nahitaji kuprint Thready na Post zake zote za "Mtaji,10m/=" nikiprint moja moja inatoka vibaya je INVISIBLE na wengineo jamvin mnawezakunisaidia kuniwekea hiyo kwenye PDF/ word ili niiprint. Please this dokument ninaihitaji sana.
  Slogan yetu The Home of Great Thinkers for 100% umeonekana kwenye hii thready.
   
  Last edited: Jun 6, 2009
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mazee nafurahi kuona watu wanafaidika na JF kwa namna moja au nyingine. Kurahisisha matakwa yako yatimizwe kwa haraka, nadhani ungemtumia private msg (PM) Invisible akuwekee kwenye PDF hiyo thread.
   
 3. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2009
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Kwanini usiikopi na kupesti kwenye word wewe mwenyewe na kuipdf mkuu??
   
 4. dmaujanja1

  dmaujanja1 JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kaka inatoka vibaya nimejaribu kuedit wapi inatoka kiajabu ajabu.
   
 5. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Unaweza ukacopy post moja moja na ukaiweka kwenye word document, then print huko inatoka vizuri! Ila tu itabidi uwe mvumilivu kidogo kucopy post moja moja....!

  Alternatively mPM invisible atakusaidia kukupa a very easy way ya kuprint mkuu!
   
 6. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,582
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Mkuu hii hapa kwenye attachment, I hope itakuwa fine. Kama haiko fine niambie ni attach word document.
   

  Attached Files:

 7. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hapa mkuu Maujanja akishindwa tena basi......nimeona ikofresh sana, so hopeful itamsaidia!
   
 8. dmaujanja1

  dmaujanja1 JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu The Farmer,Next Level, nimeipata viziri sana thanx much for ur support.
  Be Blessed
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...