Msaada wa kupata shule

Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
11,400
20,671
Kwa waliopo Netherlands....naombeni chanel ya kupata scholarship kwani nataka kusoma MSc in Water Resources and Environmental Engineering
 
Follow this link http://www.ihe.nl/education

Apply the course you are interested, once you get admission, go to the Netherlands embassy in Dar es salaam, request for NFP scholarship application form. Wait for the outcome.
 
NFP stands for Netherlands Fellowship Programme. Kama unataka kusoma Netherlands, kwanza unaomba kozi unayotaka kwa kujaza form za chuo husika, ukipata admission unaenda hapo ubalozini unaomba form ya scholarship unajaza na kuambatanisha viambatanisho vyote vinavyohitajika, then unarudisha hiyo form ikiwa imejazwa kikamilifu kwa mujibu wa maelekezo yatakayokuwepo kwenye hiyo form. Ukisharudisha ubalozini (Check there is a strict deadline for this). Ikishapokelewa embassy, unasubiri majibu utaarifiwa kwa barua moja kwa mija kutoka chuo ulichoomba au kupitia ubalozi. Kawaida unatakiwa uombe chuo sasa kwani deadline ya kurudisha scholarship forms huwa January 1 ya kila mwaka. Lakini tarehe hubadilishwa, so check with the Netherlands embassy website for this or check at Nuffic website www.nuffic.nl

Naamini imeeleweka na kwa wengine pia.
 
Last edited:
Hiyo kozi uliyotaja inapatikana Delft na Wageningen Universities. Mimi nilikuwa Maastricht mwaka 1993 (kozi tafauti), na nilikuwa na wenzangu wawili walikuwa wanafanya hiyo kozi mmoja Delft na mwingine Wageningen. Fuata maelekezo kuhusu scholarships kama wengine walivyoelekeza, lakini hebu rahisisha kwa kuanzia na hii website ya watu wa nuffic, fanya search kuanzia hapo uone vipaumbele vyao vya mwaka huu. Bofya http://www.nuffic.nl/
 
Nashukuruni sana wakubwa kwa msaada wenu..Ntajaribu kufuata maelekezo

Keep it up!
 
Back
Top Bottom