Msaada wa kupata physiotherapist

lovely love

JF-Expert Member
Dec 11, 2013
337
295
Habari wakuu,

Nauliza wapi kwa Dar naweza kupata physiotherapist anaefanya home visitation..Nina mgonjwa wa miguu ambae nahitaji huduma akiwa nyumbani.

Shukrani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom