Sio masihara niko serious natafuta paka
sasa kama una umbwa akikaa na paka si ndio hatari sana....au hiyo umbwa ni pole...?
Hiyo umbwa ni kali ila muda unawafungulia paka inakuwa ndani amani tu
Yaani Preta huwezi amini nimeshapata paka jioni naenda kuchukua, asante Maarifa , jamii forum salute.
Natafuta Paka wa kufuga ninasumbuliwa na panya sana na naogopa kuwawekea sumu maana niliweka sumu ikamuua panya mbwa akala nae akafa naomba msaada kwa yeyote mwenye paka
Mkuu bado wapo available, na mimi nahitaji mmoja? seriously.
Paka wamekua Maarifa waone wlivyokuwa
Mbona masikio yamesimama namna hiyo!Paka wamekua Maarifa waone wlivyokuwa