UNIQUEMAN1
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 378
- 448
Nina past paper notes za kutosha.....zipo kwenye computer nkipata mda ntakuwekea hapa
Mzee ikiwezekana weka Hadi za literature in English
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya Kweli unitagNilikuwa mbali kidogo...kesho asubuhi nazimwaga hapa...pole kwa kusubiria mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya Kweli unitag
Kwahiyo siku hizi mambo ya kuandika daftarini na ubaoni hayapo Tena?...
Nicheki PM mkuu nina notes na study materiasl zote unazohitaji pdf na word document pia kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita
PM
PM kama bado hujapata
Nicheki PM mkuu nina notes na study materiasl zote unazohitaji pdf na word document pia kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita
Nicheki kwa namba hii boss kupata utaratibu 0752026992Mkuu naomba nami unisaidie notes za geography na BAM A level, email andremwande@gmail.com
Kama unaziuza weka bei na utaratibu wote hapa.Nicheki kwa namba hii boss kupata utaratibu 0752026992